VIDEO: MTANGAZAJI DIVA WA CLOUDS FM AKIRI ALIWAHI KUWA NA UHUSIANO NA ZITTO KABWE

Awali kuliwahi kuwapo tetesi kuwa mtangazaji Diva The Boss au Diva Loveness Love alikuwa na uhusuano wa Mbunge wa Kigoma Mjini lakini pia kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, lakini hakuna aliyeweza kuthibitisha madai hayo.
Lakini kwa sasa jambo hilo si tetesi tena kwani Diva amekaririwa kwenye mkanda wa video akikiri kuwa ni kweli alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Zitto Kabwe.
Diva ameyasema hayo jana alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Papo Kwa Papo ambacho hurushwa mtandaoni kila Jumatano kuanzia saa tatu usiku.
Ni kweli, nilikuwa na uhusiano na Zitto Kabwe muda mrefu, kwa zaidi ya miaka minne. Uhusiano wetu haukuwa wa siri kwa sababu tulikuwa tukitoka pamoja, nilikuwa nikienda kulala kwake Tabata alipokuwa akiishi na mama yake lakini pia Masaki, alisema Diva baada ya kuulizwa kama aliwahi kuwa na uhusiano na Zitto Kabwe.


Hapa chini ni video ya Diva akizungumzia suala hilo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post