VIDEO: MUIGIZAJI FAIZA ALLY ALALA MAHABUSU, ASIMULIA MKASA MZIMA BAADA YA KUTOKA

Muigizaji wa Bongo Movie, Faiza Ally ukipenda muite Mama Sasha juzi alikumbwa na mkasa uliomfanya alale mahabusu hadi alipotoka jana mchana.
Msanii huyo amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameweka video akielezea tukio zima lililompata alipokwenda hospitali.
Hapa chini ni video ya msanii huyo akielezea tukio zima.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post