VIDEO: NAPE NNAUYE ALIVYOTISHIWA NA BASTOLA ALIPOGOMA KUONDOKA

Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye alipofika katoka Hoteli ya Protea Dar es Salaam leo kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na vikwazo ambapo baadhi ya maafisa wa usalama walikuwa wakimtaka arudi kwenye gari na aondoke.
Licha ya kuwa kiongozi huyo alifika eneo hilo kwa utulivu, lakini walionekana kumbughudhi wakimtaka aondoke eneo hilo hadi ikafikia hatua mtu mmoja kumtisha kwa kutumia bastola aliyokuwa nayo.
Baadhi ya watu akiwemo Maulid Kitenge waliingilia mvutano huo huku wakimuamuru kijana huyo ambaye hakufahamika ni nani aondoke na kumuacha Nape.
Hapa chini ni video ya tukio lilivyokuwa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post