VIDEO: STAN BAKORA ATAJA AWAMU YA PILI YA WASANII WAHALIFU

Mchekeshaji Stan Bakora amekuja na awamu ya pili ya majina ya wasanii ambao ni wahalifu kwa wanauhusiano na wasichana kwa muda mrefu lakini hadi leo hawataki kuwaoa.
Katika awamu ya kwanza alitaka majina 10 ya wasanii hao lakini pia leo ana majina mengi 10 ambayo si ya wasanii tu, lakini pamoja na wafanyabiashara.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post