VIDEO: TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE BAADA YA KUMHOJI RC MAKONDA


Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili, na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika amesema kuwa kamati hiyo imefanya mahojiano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo mkoani Dodoma kufuatia agizo la Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Mwenyekiti huyo ameeleza kuwa kiongozi huyo wa mkoa ameonyesha ushirikiano katika mahojiano hayo na kuwa ripoti itafikishwa kwa Spika wa Bunge kwa ajili ya hatua zaidi.
Makonda amehojiwa kufuatia kauli yake aliyoitoa kupitia kituo cha runinga kuwa wabunge wanapiga porojo na kusinzia tu kitu ambacho kilitafsiriwa kama kashfa na kulidharau Bunge.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post