VIDEO: WIMBO WA JOTI KATIKA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Leo ni maadhimisho ya siku ya wanawake dunaini ambapo jamii hutambua mchenga unaofanywa na wanawake katika maendeleo na pia kupiga vita mambo yote yanayozuia kuinuka kwa wanawake kama ukeketaji, elimu, mamba za utotoni.
Katika kuadhimisha siku hii, watu mbalimbali hutunga nyimbo za hamasa na kufanya vitu vingine tofauti ili kuonyesha kuwa wanawake nao wanaweza wakipata nafasi.
Hapa chini ni wimbo ulioimbwa na Linah lakini mchekeshaji Joti akiutengenezea video kwa ajili ya wanawake.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post