WAAJIRI WATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA ZA MAPATO YA WAFANYAKAZI WAO

SHARE:

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Masha Mshomba amewataka waajiri wote Tanzania Bara kuwasilisha taarifa ya mapato...

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Masha Mshomba amewataka waajiri wote Tanzania Bara kuwasilisha taarifa ya mapato ya wafanyakazi wao (Return of Annual Earnings) kwa kipindi cha mwaka mmoja, kuanzia tarehe 01.03.2016 mpaka tarehe 28.02.2017.
Amesema kuwa uwasilishwaji wa taarifa hizo ni kwa mujibu wa vifungu vya 73 (1) na 73 (2) vya sheria ya fidia kwa wafanyakazi sura ya 263 marejeo ya mwaka 2015 kinachomtaka kila mwajiri kuwasilisha taarifa hizo kabla ya tarehe 31 ya mwezi Machi kila mwaka.
“Nawataarifu waajiri wote kuwa uwasilishwaji wa fomu hizo ni kwa kutumia fomu WCR-3 na mwisho wa kuziwasilisha ni tarehe 31.03.2017,”amesema Mshomba.
Aidha, ameongeza kuwa fomu zilizojazwa kikamilifu ziwasilishwe kwenye ofisi za Mfuko zilizopo Jengo la GEPF House, Kitalu na 37, Regent Estate, Barabara ya Bagamoyo au Ofisi za Kazi zilizopo mikoani na wilayani kwa upande wa Tanzania Bara.
Hata hivyo, amesema, fomu WCR-3 inapatikana kwenye tovuti ya Mfuko huo www.wcf.go.tz, Makao Makuu ya Mfuko au kwenye Ofisi za Kazi zilizopo mikoani na wilayani.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAAJIRI WATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA ZA MAPATO YA WAFANYAKAZI WAO
WAAJIRI WATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA ZA MAPATO YA WAFANYAKAZI WAO
https://2.bp.blogspot.com/-rCKTkAIA9T8/WMGWT3sgZGI/AAAAAAAAXrs/e5E0OkQakvk73n4RAjafVTG-_xliSIPLQCLcB/s1600/Masha.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-rCKTkAIA9T8/WMGWT3sgZGI/AAAAAAAAXrs/e5E0OkQakvk73n4RAjafVTG-_xliSIPLQCLcB/s72-c/Masha.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/waajiri-watakiwa-kuwasilisha-taarifa-za.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/waajiri-watakiwa-kuwasilisha-taarifa-za.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy