WABUNGE WAPAZA SAUTI KUHUSU UZAZI WA MPANGO, KUPUNGUZA VIFO VINAVYOTAKANA NA UZAZI NA KUPANGA MAENDELEO TAIFA

SHARE:

Asasi ya Kibunge inayojihusisha na masuala ya Idadi ya watu na maendeleo (TPAPD) imeelezea umuhimu wa kuweka kipaumbele kwenye masuala ya ...

Asasi ya Kibunge inayojihusisha na masuala ya Idadi ya watu na maendeleo (TPAPD) imeelezea umuhimu wa kuweka kipaumbele kwenye masuala ya uzazi wa mpango ili kukabiliana na ongezeko la kasi la idadi ya watu ambayo kwa sasa ni wa asilimia 2.7 kwa mwaka. 

Tamko la TPAPD lilitolewa leo katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake Machi 8, limesema matumizi ya njia za uzazi wa mpango yanaweza kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi (MMR) kwa asilimia 44, na kupunguza vifo vya watoto kwa asilimia 35. Vifo vya wanawake katika uzazi vimefikia 556 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2015 kutoka vifo 454 katika kila vizazi hai mwaka 2010. 

TPAPD chini ya Mwenyekiti wake Mhe Dkt Mary Mwanjelwa iliamua kutoa tamko hili hivi karibuni katika kikao cha kamati tendaji mjini Dar es Salaam kilichojadili umuhimu wa uzazi wa mpango katika harakati za kujenga Tanzania ya uchumi wa kati na uchumi wa viwanda. 
 

Tamko hilo lililotiwa saini na Mwenyekiti Dkt Mwanjelwa limesema:  “uzazi wa mpango unahitajika katika kuiwezesha nchi kukabiliana na ongezeko la kasi la idadi ya watu inayochangiwa na uzazi wa kiwango cha wastani wa watoto sita kwa kila mwanamke aliye katika umri wa uzazi. 

Hali hii huchangia utegemezi pamoja na umaskini; na pia hudumaza juhudi
za taifa za kufikia malengo ya maendeleo”. 
 

“TPAPD inatambua na kuunga mkono kwa dhati kasi ya utekelezaji wa mpango Mkakati wa Taifa wa kuimarisha afya ya uzazi, afya ya mama na mtoto, na vijana (RMNCAH II 2016-2020),” na inaahidi kuwa bega kwa bega katika kufanikisha upatikanaji wa huduma bora za uzazi wa mpango kwa wote hapa nchini”, limesema Tamko hilo. 
Mhe Mwanjelwa amesema TPAPD inatambua mafanikio yaliyopatikana katika kulifanya suala la uzazi wa mpango kuwa nguzo muhimu katika mpango wa taifa wa RMNCAH ambao pia unajulikana kama One Plan II, unaolenga kuongeza matumizi uzazi wa mpango kila mwaka, kupunguza vifo vya
wanawake na watoto, na kuimarisha afya ya uzazi kwa vijana. Ifikapo 2020,
Tanzania imeweka lengo la kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi kufikia 293 kwa kila vizazi hai 100,000. 


Ikitambua mchango wa wabunge wote katika kuweka mazingira wezeshi ya kisera na kwa serikali kutenga bajeti ya uzazi wa mpango, TPAPD imetaka jitihada za dhati ziendelee kufanyika kuhakikisha ununuzi na usambazaji
wa taarifa sahihi, njia za uzazi wa mpango, na vifaa vya kuimarisha afya ya
uzazi kote nchini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WABUNGE WAPAZA SAUTI KUHUSU UZAZI WA MPANGO, KUPUNGUZA VIFO VINAVYOTAKANA NA UZAZI NA KUPANGA MAENDELEO TAIFA
WABUNGE WAPAZA SAUTI KUHUSU UZAZI WA MPANGO, KUPUNGUZA VIFO VINAVYOTAKANA NA UZAZI NA KUPANGA MAENDELEO TAIFA
https://4.bp.blogspot.com/-iu48mXlgyDE/WMEFD5K1aYI/AAAAAAAAXqE/LfXo8U2SGMAGaWTnZ3z83t8d3HgBTd9CQCLcB/s1600/unnamed-1.png
https://4.bp.blogspot.com/-iu48mXlgyDE/WMEFD5K1aYI/AAAAAAAAXqE/LfXo8U2SGMAGaWTnZ3z83t8d3HgBTd9CQCLcB/s72-c/unnamed-1.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/wabunge-wapaza-sauti-kuhusu-uzazi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/wabunge-wapaza-sauti-kuhusu-uzazi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy