WAFAHAMU WABUNGE TISA WALIOTEULIWA NA RAIS DKT MAGUFULI

SHARE:

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 66- 1 (a)-(e) inataja ina tano za wabunge watakaounda Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 66- 1 (a)-(e) inataja ina tano za wabunge watakaounda Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika ibara hiyo ya 66, kifungu cha (e) kinampa mamlaka Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuteua wabunge wasiozidi 10 ambapo kati hao, wasiopingua watano wanatakiwa kuwa wanawake. Ibara hiyo inasomeka “Wabunge wasiozidi kumi walioteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa kwa mujibu wa ibara ya 67, isipokuwa sifa iliyotajwa katika ibara ya 67(1)(b).”
Hadi sasa Rais Dkt Magufuli ameteua wabunge 9 huku akiwa amebakisha nafasi 1 kukamilisha mamlaka aliyopewa na katiba. Wabunge hao walioteuliwa hadi sasa ni pamoja na;-
  1. Dk. Tulia Ackson Mwansasu, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.
  3. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
  4. Dk. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  5. Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango.
  6. Anne Kilango Malecela.
  7. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
  8. Alhaji Abdallah Bulembo, na
  9. Salma Kikwete
Awali, Rais Dkt Magufuli alikuwa amemteua Dkt. Abdallah Possi kuwa mbunge lakini alijiuzulu wadhifa huo baada ya kuteuliwa kuwa Balozi.
Hadi sasa Rais Dkt Magufuli ameteua wabunge wanaume watano na wabunge wanawake wanawake.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAFAHAMU WABUNGE TISA WALIOTEULIWA NA RAIS DKT MAGUFULI
WAFAHAMU WABUNGE TISA WALIOTEULIWA NA RAIS DKT MAGUFULI
https://1.bp.blogspot.com/-xVrhrH3WXqg/WLv5rjQRUlI/AAAAAAAAXa4/LIQeoE9xOjsJU7iCPH0XVZE0q67M90JFQCLcB/s1600/1-2-750x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-xVrhrH3WXqg/WLv5rjQRUlI/AAAAAAAAXa4/LIQeoE9xOjsJU7iCPH0XVZE0q67M90JFQCLcB/s72-c/1-2-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/wafahamu-wabunge-tisa-walioteuliwa-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/wafahamu-wabunge-tisa-walioteuliwa-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy