WALICHOANDIKA VIONGOZI BAADA YA RAIS MAGUFULI KUMVUA UWAZIRI NAPE NNAUYE


Baada ya Rais Magufuli kutangaza uamuzi wa kumvua uwaziri, aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, watu wengi wakiwemo wananchi wa kawaida, viongozi wa kisiasa na watu maarufu wameelezea hatua hiyo kwa masikitiko makubwa huku wakimtia moyo Nape Nnuaye kuwa alitimiza majukumu yake.
Wengi walioandika jumbe zao kupitia mitandao ya kijamii wameeleza kuwa sababu wanayoamini imepelekea kutumbuliwa kwa kiongozi huyo ni kwavile aliendeleza uchunguzi dhidi ya Paul Makonda wakati Rais alishasema aendelee kuchapa kazi.
Hapa chini ni maoni ya watu mbalimbali kuhusu hatua hiyo ya Rais.
You will never walk Alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.@Nnauye_Nape
Rais JPM amemteua mmoja wa maadui wakubwa wa maendeleo na ustawi wa vyombo vya habari Dk. Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari. Ni habari mbaya
CORRECTION:Nimezungumza na mbunge wa Mtama @Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu
Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.@Nnauye_Nape
Nitakua naota eti....... Ngoja nilale tena then niamke! Maana hii si mara ya kwanza kukutana na ndoto mbaya ya kutisha!!
Kaka @Nnauye_Nape nakushukuru kwa kunipa mfano wa kutumia kumfundishia mwanangu zion somo la uzalendo! HISTORY will JUDGE you RIGHT!! ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
This Is Shocking......!!!! Outta hand Kabisa.... Noooo...!! This Is Too Much Now.....!!!๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
Kwa Magufuli bashite ni mhimu na ni bora kuliko Nape ndani ya chama na serikali! Hongera JPM!

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post