WALIOJENGA NYUMBA PEMBEZONI MWA MTO MPIGI WAAMRIWA KUBOMOA NYUMBA ZAO

SHARE:

baadhi ya nyumba zilizopo Mpigi darajani ambazo zinatakiwa kubomolewa kutokana na kujengwa ndani ya mita sitini kutoka katika chanzo ...

baadhi ya nyumba zilizopo Mpigi darajani ambazo zinatakiwa kubomolewa kutokana na kujengwa ndani ya mita sitini kutoka katika chanzo cha maji. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba (Mb.) amegiza wenye nyumba hizo wabomoe kwa gharama zao wenye.
JEKO 1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba (Mb.) akiongea na wananchi wa eneo la Mpigi darajani (hawapo pichani) na kusisitiza katazo la kufanya shughuli zozote za kibinadamu ndani ya mita sitini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo Bi. Fatuma Latu
JEKO 2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba (Mb.) alipotembelea Mamlaka ya Usafi na Mazingira Chalinze kujionea changamoto za uchafuzi wa mazingira katika mto Wami
……………….
Na Lulu Mussa
Bagamoyo – Pwani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameagiza kusitishwa mara moja kwa shughuli zote za kibinadamu kando kando ya Vyanzo vya maji.
Rai hii imetolewa leo na Waziri Makamba mara baada ya kufanya ziara ya kukagua hali ya mazingira katika Mkoa wa Pwani eneo la Mto Mpiji ambao umeathirika kutokana na Uchimbaji wa mchanga na mmomonyoko wa ardhi unaohatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo.
Waziri Makamba amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo Bi. Fatuma Latu kuwaondoa watu wote waliojenga pembezoni mwa Mto Mpiji na kuhakikisha zoezi hilo linafanyika ndani ya siku 30. ” Mkurugenzi hakikisheni kuwa wakazi hao waliovamia eneo la mto huu na kujenga makazi yao ya kudumu wanaondolewa mara moja” Alisisitiza Waziri Makamba.
Katika hatua nyingine Waziri Makamba ametembelea Mto Wami na kusikitishwa na uharibifu mkubwa wa mazingira unaosababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kilimo, ufugaji na uchimbaji haramu wa madini, upasuaji mbao na uchomaji mkaa unaopelekea mmomonyoko wa udongo na mchafuko/tope jingi na kusababisha kupungua kwa uzalishaji wa maji.
Katika kukabiliana na changamoto zilizoainishwa Waziri Makamba amesema Ofisi yake itaanda kikao kazi kitakachojumuisha wadau wote muhimu ili kunusuru Mto Wami haraka iwezekanavyo. “Serikali haiwezi kuwekaza fedha nyingi kwenye mradi mkubwa kama huu na kuona uharibifu ukiendelea na kuharibu miundombinu, hali hii haikubaliki na nitachukua hatua za haraka.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba (Mb.) yuko katika ziara ya kikazi katika mikoa Pwani, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida kujionea hali ya mazingira na changamoto za hifadhi katika mikoa husika. Hii ni ziara ya pili baada ya iliyofanyika mwezi Oktoba 2016, katika mikoa ya Nyanda za juu Kusini. Katika siku ya kwanza Waziri Makamba ametembelea Mto Mpigi, Mto wami na hifadhi ya msitu wa Kibindu uliovamiwa na wananchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WALIOJENGA NYUMBA PEMBEZONI MWA MTO MPIGI WAAMRIWA KUBOMOA NYUMBA ZAO
WALIOJENGA NYUMBA PEMBEZONI MWA MTO MPIGI WAAMRIWA KUBOMOA NYUMBA ZAO
https://1.bp.blogspot.com/-kKe9vp7oTPk/WNCwda57aHI/AAAAAAAAYTU/8_fkNupfeoQNcBYQre5fKOKtW-b58ouHACLcB/s1600/JEKO.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-kKe9vp7oTPk/WNCwda57aHI/AAAAAAAAYTU/8_fkNupfeoQNcBYQre5fKOKtW-b58ouHACLcB/s72-c/JEKO.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/waliojenga-nyumba-pembezoni-mwa-mto.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/waliojenga-nyumba-pembezoni-mwa-mto.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy