WANAFUNZI 2,348 WASHINDA RUFAA ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetuma vyuoni majina ya wanafunzi 2,348 walioshinda rufaa zao na inaendelea kukamilisha malipo ya mikopo yao.
Hatua hiyo ya bodi ya mikopo imekuja baada ya wanafunzi hao kushinda katika rufaa zao za mikopo ya elimu ya juu walizokata tangu Novemba Mosi mwaka jana na kuhitimishwa Januari  31, mwaka huu.
Taarifa ya bodi hiyo iliyotolewa leo (Jumatano) imewaarifu waombaji na umma kwa ujumla kuwa zoezi hilo limefungwa rasmi hadi hapo litakapotangazwa tena katika mwaka ujao wa masomo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post