WAPELELEZI UFARANSA WACHUNGUZA SHAMBULIZI LA UWANJA WA NDEGE

Wapelelezi wa kukabiliana na ugaidi Ufaransa wanachunguza shambulizi la uwanja wa ndege wa Orly Jijini Paris lililofanywa na mtu mwenye silaha ambaye naye alipigwa risasi na kufa.

Mhusika Ziyed Ben Belgacem, 39, aliuwawaa jumamosi baada ya kumuelekezea kichwani mtutu wa bunduki mwanajeshi, huku akisema anataka kufa kwa ajili ya Allah.

Mapema jana mtuhumiwa huyo alihusika katika tukio la mashambulizi ya kutumia silaha na kuteka gari.

Imeelezwa kuwa Belgacem aliingizwa katika itikadi kali za kidini akiwa gerezani na alikuwa chini ya uangalizi wa polisi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post