WAPIGANA WAKIGOMBEA FEDHA YA SODA ILIYOTOLEWA NA RAIS MAGUFULI

SHARE:

Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Vikonje A wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamezichapa kavukavu  wakigombea TZS 100,000 iliyotolewa na Rais...

Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Vikonje A wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamezichapa kavukavu  wakigombea TZS 100,000 iliyotolewa na Rais Dkt Magufuli wanunue soda.

Rais Dkt Magufuli alitoa fedha hizo kwa wakazi hao wa kijiji kilichopakana na Ikulu ndogo ya Chamwino aliposimama kuwasalimu wakati akiwa njiani kuelekea kwenye makazi yake.

Mwenyekiti wa Kitongoji hicho alisema jana kuwa, alipopokea fedha hizo aliwapa wanaume 40,000 na wanawake kiasi hicho hico huku 20,000 akiielekeza kuchangia ujenzi wa shule ya msingi kijijini hapo. Kiongozi huyo alisema kuwa, ugomvi uliibuka upande wa wanaume ambao baadhi walitaka mgao mkubwa kuliko wengine.

Licha ya kuwa kiongozi huyo aligawa fedha hizo watu wakiona na kumpa Diwani 20,000 ya mchango wa shule, baadhi ya watu walimtuhumu kuwa amezichukua kwa ajili ya matumizi yake binafsi.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Kitongoji, Robert Mshana aliwataka wakazi wa Kijiji hicho kubadilika kwani eneo hilo litakuwa eneo muhimu kutokana na Ikulu ya nchi kuhamia hapo.

Mshana aliyasema hayo wakati wa kikao cha kijiji kilicholenga kuwaelimisha wanakijiji juu ya mipaka ya Ikulu ya Chamwino na kuorodhesha mali zao ili waweze kulipwa fidia kupisha upanuzi wa Ikulu.

-Mwananchi

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAPIGANA WAKIGOMBEA FEDHA YA SODA ILIYOTOLEWA NA RAIS MAGUFULI
WAPIGANA WAKIGOMBEA FEDHA YA SODA ILIYOTOLEWA NA RAIS MAGUFULI
https://2.bp.blogspot.com/-u-Kshrsl6x4/WMlBG7Jd1aI/AAAAAAAAX-Y/-585s6VZpeEPx7feVBLzrfHTnKepysX6wCLcB/s1600/94888823_cola640-750x375.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-u-Kshrsl6x4/WMlBG7Jd1aI/AAAAAAAAX-Y/-585s6VZpeEPx7feVBLzrfHTnKepysX6wCLcB/s72-c/94888823_cola640-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/wapigana-wakigombea-fedha-ya-soda.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/wapigana-wakigombea-fedha-ya-soda.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy