WATEJA WALALAMIKA NDEGE ZA BRITISH AIRWAYS KUISHIWA NA CHAKULA

Shirika la Ndege la British Airways limekabiliana na malalamiko kutoka kwa abiria wa ndege zake kufuatia kuishiwa na vyakula zikiwa safarini.

Shirika hilo pia pia limekuwa likikabiliwa na tatizo la kushindwa kuwa na akiba ya kutosha ya karatasi za kutumia chooni.


Matatizo hayo yameibua malalamiko mengi ya wateja, wengi wao bado wamekerwa na uamuzi wa shirika hilo kuondoa chakula cha bure katika safari fupi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post