ACHANA NA THE FAST AND THE FURIOUS 8,SASA HUU NDIO MZIGO MPYA UNAOKUJA

Baada ya kuvunja rekodi ya box office duniani kwa filamu ya ‘The Fate of the Furious 8’, Muigizaji wa filamu hiyo Tyrese ameweka wazi ujio wa filamu yao inayofuata, Fast 9.
Tyrese ameonyesha cover ya toleo la movie hiyo mpya ya Fast 9 kupitia Instagram yake, inayoashiria kwamba tayari waigizaji wa filamu za The Fast and the Furious wako kazini wakiandaa Filamu hiyo mpya. The fate of the Furious imekadiriwa kuingiza rekodi ya dola za kimarekani shilingi milioni 523 ndani ya wiki yake ya kwanza pekee.
Filamu hiyo ya Fast 9 inatarajiwa kutoka ifikapo mwaka 2019.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post