AFYA: WATAALAMU WAELEZA FAIDA ZA KUOGELEA UKIWA MTUPU

SHARE:

Kuogelea ni sehemu ya starehe kwa watu wengi na pia ni mazoezi kiafya. Watu wengi wamekuwa wakishiriki kuogelea kama sehemu ya kujifurahish...

ogKuogelea ni sehemu ya starehe kwa watu wengi na pia ni mazoezi kiafya. Watu wengi wamekuwa wakishiriki kuogelea kama sehemu ya kujifurahisha, na wengine hufanya kuogelea kama mchezo.
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali kama kuogelea kuna athari zozote kiafya. Wataalamu wa tiba na afya wametoa maoni yao kuhusu mjadala huo wa kuogelea ukiwa mtupu kabisa.
Dkt. Lance Brown wa Jijini Newyork marekani amefafanua kuwa “Kuvaa nguo za kujisitiri kunamuongezea jasho mwogeleaji na mtu kupata upele na muwasho. Ipe ngozi nafasi ya kupumua.”
Kwa mujibu wa wataalamu hao, kitendo cha kuwa mtupu kinaipa ngozi nafasi ya kupata vitamin D kirahisi.
Mshauri nasaha wa mambo ya jinsia, Shaun Galanos anasema kuwa ni suala ambalo linapendeza kuanzia chumbani, hadi juani katika mandari ya kuogelea.
“Kuwa mtupu si kwamba inakuongezea vitamin D pekee, hata hisia zako. Inasaidia hata mzunguko wako wa damu na kuondoa sumu mwilini.” 
Kwa mujibu wa watafiti wa Afya, mwili hupokea vitamin D kwa wingi unapoanikwa juani, walau kwa wastani wa kati ya dakika 10 hadi 15.
Dkt Jenn Mann anazungumzia mada hii kwa kusema kuwa watu wasiishie kuendekeza mlo tu, wakati kuna mbadala mzuri wa kuota jua.
“Kutumia muda wako ukiwa ‘mtupu’ juani ni namna ya kuwasiliana na mwili wako. watu wengi hivi sasa wanajiweka mbali na suala la kuupa hisia mwili, ambayo inaweza kumsaidia.”
Dkt Mann anaenda mbali zaidi, akiwashauri kinamama na ‘hasa wenye ngozi nyeupe’ kutumia njia hiyo kama mbadala wa kujipodoa, akiamini inawasaidia.
Kisaikolojia pia inaelezwa kuwa ni tendo linalomuondolea mtu hata hofu ya msongo wa mawazo unaotokea wakati huo na mtu anajihisi kuwa huru zaidi, akipigwa na upepo.
Pia inaelezwa kuwepo hoja kwamba wengi sasa wanaunga mkono mtazamo huo wa kuogelea kuwa watupu katika baadhi ya maeneo, ili kunufaika hivyo kiafya.
  • Wataalamu hawa wameejiuliza swali, Kwanini kuvaa nguo wakati unakwenda kujilowanisha majini?
  • Ngozi ambayo haijafunikwa na nguo hukauka haraka zaidi kuliko iliyofunikwa.
  • Vilevile inafafanuliwa kwamba kuogelea bila kuwa na mavazi, humuepusha mtu kutokana na muwasho unaoweza kusababishwa na mavazi ya kuogelea, humfanya mtu kuwa makini katika maeneo mbalimbali ya ngozi yake na kugundua kama kuna tofauti yoyote mwilini.
Kuogelea hukufanya kuwa mwepesi.
Wakati wa kuogelea ili songe mbele inakubidi kujikunja, kujivuta na kujisukuma ndani ya maji. Kufanya vitendo hivi mara nyingi kwa wakati mmoja kutakusaida kulainisha viungo vyako vya mwili. Hata kama huwa unafanya mazoezi ya viungo, jitahidi pia kuogelea mara kwa mara ili kuupa mwili wako wepesi wa viungo.
Kuogelea huongeza nguvu ya misuli yako.
Unapoogelea, misuli yote ya mwili huusishwa. Tofauti na wakimbiaji ambao wanahusisha zaidi misuli ya miguu. Ukiwa unaogelea unahusisha mikono kujivuta, miguu kujisukuma na tumbo hukaza ili kuipa miguu nguvu, hivyo kufanya kuogelea kuwa zoezi la kipekee linalohusisha viungo vingi mwilini.
Kuogelea hupunguza msongo wa mawazo.
Kuogelea ni mchezo unaofurahisha, unakufanya kupata utulivu wa ubongo na kukuburudisha. Baadhi ya wataalamu wamesema kuwa unapoogelea ubongo wako huachana na fikra nyingine zote na kutulia ili kukufanya uogelee pasipo kuwa na matatizo. Hivyo kama unajisikia mchovu na mwenye msongo wa mawazo, basi ni wakati mzuri wa wewe kwenda kuogelea.
Kuogelea ni tiba ya ngozi.
Kwa wale wenye matatizo ya kuwa na ngozi kavu au muwasho katika mwili, kuogelea katika maji ya chumvi (baharini) kuataitibu ngozi yako. Chumvi iliyoko katika maji ya bahari itaifanya ngozi kuwa yenye unyevunyevu na kurudisha seli zilizokufa. Utashangaa namna ngozi yako itakavyokuwa nyororo mara baada ya kutoka kuogelea katika maji ya bahari.
Swali la kujiuliza hapa pamoja na faida zote zilizoelezwa na wataalamu, Je utamaduni wetu wa kiafrika unalionaje suala hili?

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: AFYA: WATAALAMU WAELEZA FAIDA ZA KUOGELEA UKIWA MTUPU
AFYA: WATAALAMU WAELEZA FAIDA ZA KUOGELEA UKIWA MTUPU
https://swahilitimes.com/wp-content/uploads/2017/04/xog.jpg.pagespeed.ic.LoMrb-cLfg.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/afya-wataalamu-waeleza-faida-za.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/afya-wataalamu-waeleza-faida-za.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy