ALICHOZUNGUMZA RAIS DKT MAGUFULI ALIPOMPIGIA SIMU MWANA FA

SHARE:

Msanii wa Hip hop Tanzania Hamis Mwinjuma maarufu kama mwana FA leo ameelezea alivyofurahishwa na simu aliyoipokea kutoka kwa Rais wa Jamuh...

Msanii wa Hip hop Tanzania Hamis Mwinjuma maarufu kama mwana FA leo ameelezea alivyofurahishwa na simu aliyoipokea kutoka kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John pombe Magufuli akizisifia kazi zake.
Mwana FA katika ukurasa wake wa twitter aliandika kuwa “Nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais Magufuli kunisalimia na kuniambia kuwa yeye ni mpenzi wa kazi zangu”
katika kuthibitisha furaha yake, Mwana FA aliandika ujumbe mwingine ambao ni mstari ulioko katika wimbo wake wa iliobamba wa ‘Dume Suruali’ unaosema ‘utoe hela kwani ina TV ndani’ kwa lafudhi ya kisukuma huku akitilia mkazo kwa kuweka herufi kubwa katika neno ‘heRA’ ikiwa ni namna ya kuigiliza anavyoongea Mheshimiwa Rais.

Siyo mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kupiga simu kwa wasanii na kuwapongeza kwa kazi zao. Amekuwa na kawaida ya kupongeza pia vituo vya redio na televisheni na kutoa michango mbalimbali katika kuhamasisha ukuaji wa sanaa nchini.
Amewahi kupiga simu Clouds tv kupitia kipindi chao cha ‘Clouds 360’ kinachorushwa kila siku asubuhi na kile cha ‘SHILAWADU’ kinachorushwa siku ya Ijumaa kuanzia saa 3 usiku akiwapongeza watangazaji kwa juhudi wanazozifanya na kuwapongeza.

Kitendo hichi cha kuwapigia simu wasanii na vituo vya habari kinaonyesha dhahiri kuwa Rais ni mtu anayependa kuwaunga mkono vijana kwa yale yote wanayoyafanya.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALICHOZUNGUMZA RAIS DKT MAGUFULI ALIPOMPIGIA SIMU MWANA FA
ALICHOZUNGUMZA RAIS DKT MAGUFULI ALIPOMPIGIA SIMU MWANA FA
https://swahilitimes.com/wp-content/uploads/2017/04/xWhatsApp-Image-2017-04-12-at-19.19.14-660x375.jpeg.pagespeed.ic.FoNmlH7Z3G.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/alichozungumza-rais-dkt-magufuli.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/alichozungumza-rais-dkt-magufuli.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy