ALIYEKUWA WAZIRI TANZANIA AELEZA ALIVYOSHAWISHIWA KUJIUNGA FREEMASONS

SHARE:

Mwanasiasa mkongwe nchini na aliyewahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika miaka ya 1995 hadi 2005 amesema kuwa aliwahi kushawishiwa n...

Mwanasiasa mkongwe nchini na aliyewahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika miaka ya 1995 hadi 2005 amesema kuwa aliwahi kushawishiwa na watu kadhaa ajiunge na imani ya Freemasons lakini yeye alikataa.
Balozi Bakari Mwapachu ametoa kauli hiyo jana wakati aliyekuwa kiongozi wa Freemasons Afrika Mashariki Sir. Andy Chande mwili wake ukichomwa katika tanuru la Wahindu lililopo Kijitonyama jijijini Dar es Salaam, ambapo majivu baadhi yatamwagwa katika ufukwe wa Coco (Coco Beach) na mengine kupelekwa India.
Mwapachu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi na alisema aliyekuwa akimshawishi kujiunga na imani hiyo inayohusishwa na mashetani ni mtu mmoja ajulikanaye kama Abdul Rajab lakini hakutolea ufafanuzi mtu huyo ni nani na ana cheo gani Freemasons.
“Haa walikuwa wengi tu si yeye (Sir Chande) ila walikuwapo akina Abdul Rajab, sikuwakubalia kwa jinsi walivyokuwa wakifikiria niwe mwanachama wa Freemasons” Mwapachu aliliambia Mwananchi.
Alipoulizwa kuhusu imani hasa ya Freemasons, Mwapachu ambaye alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliofika katika msiba wa Sir. Andy Chande alisema kuwa haijui na hawezi kuelezea.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ALIYEKUWA WAZIRI TANZANIA AELEZA ALIVYOSHAWISHIWA KUJIUNGA FREEMASONS
ALIYEKUWA WAZIRI TANZANIA AELEZA ALIVYOSHAWISHIWA KUJIUNGA FREEMASONS
https://1.bp.blogspot.com/-0eoD3nQFARY/WO3pU7qN7QI/AAAAAAAAZV4/kgSF666XYxUHS--h421u3awIWH6w-QDswCLcB/s1600/baloz-560x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-0eoD3nQFARY/WO3pU7qN7QI/AAAAAAAAZV4/kgSF666XYxUHS--h421u3awIWH6w-QDswCLcB/s72-c/baloz-560x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/aliyekuwa-waziri-tanzania-aeleza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/aliyekuwa-waziri-tanzania-aeleza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy