ANTHONY JOSHUA AENDELEA KUJIFUA KUMVAA WLADIMIR KLITSCHKO

Bondia Muingereza Anthony Joshua anaendelea kujifua kwa pambano lake la mwishoni mwa mwezi huu dhidi ya Wladimir Klitschko.

Pambano hilo limepangwa kufanyika Wembely Aprili 29, hata hivyo Joshua, anaamini pambano lake na Tyson Fury ndio litakuwa pambano kubwa kuliko la Klitschko.
                              Bondia Muingereza Anthony Joshua akifanya mazoezi ya shingo
                                      Bondia Muingereza Anthony Joshua akiendelea na mazoezi

                                  Bondia Anthony Joshua akifurahia jambo wakati wa mazoezi
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post