ARSENAL YALAZIMISHA SARE DHIDI YA MANCHESTER CITY IKIWA NYUMBANI

Timu ya Arsenal imelazimika kutokea nyuma mara mbili na kulazimisha sare ya magoli 2-2 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza kwenye dimba la Emirates.

Katika mchezo huo wageni City waliandika goli la kwanza katika dakika ya tano tu kupitia kwa Mjerumani Leroy Sane akipiga mpira baada ya kumzunguka kipa David Ospina.

Hata hivyo Theo Walcott aliisawazishia Arsenal dakika tano kabla ya mapumziko baada ya kuua mtego wa kuotea.

Manchester City waliongeza goli la pili kupitia kwa Sergio Aguero lakini goli hilo pia lilisawazishwa kupitia kwa Shkodran Mustafi kwa mpira wa kichwa.
                                     Leroy Sane akiwa amenzunguka kioa Ospina na kufunga goli 

                               Shkodran Mustafi akifunga goli la pili na kuisawazishia Arsenal
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post