AUDIO: SIKILIZA WIMBO WA BAGHDAD- USINIPANGIE NA WAGOSI WA KAYA- DEREVA WA TANO

Hali ya kisiasa nchini imepelekea wasanii wa muziki kutunga nyimbo mbalimbali ambapo zinaaminika kuwa ni kutokana na hali ilivyo sasa nchini Tanzania.
Miongoni wa wasanii waliotoa nyimbo zao kutokana na hali ya sasa ni pamoja na Nay wa Mitego wimbo unaitwa WAPO, Weusi wimbo wao unaitwa Ya Kulevya huku Wagosi wa Kaya wakitoa ngoma yao inayokwenda kwa jina la Dereva wa 5 hana leseni.
Mbali na hao, mwanamuziki wa Hip Hop, Baghdad naye ametoa wimbo wake siku chache zilizopita unaokwenda kwa jina la USINIPANGIE. Usikilize hapa chini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post