BAADA YA KIPIGO CHA BAO 3, TUCHEL AITUPIA LAWAMA HIZI UEFA

SHARE:

Wakiwa nyumbani kwao Dortmund walikubali kipigo cha mabao 3 kwa 2 toka kwa wakali wa Ufaransa Monaco. Mchezo ambao ulipaswa kuchezwa siku...

Wakiwa nyumbani kwao Dortmund walikubali kipigo cha mabao 3 kwa 2 toka kwa wakali wa Ufaransa Monaco. Mchezo ambao ulipaswa kuchezwa siku ya Jumanne lakini kutokana na mlipuko wa bomu karibu na basi la Dortmund ukapigwa Jumatano.
Kocha wa Borussia Dortmund Thomas Tuchel amesema kipigo toka kwa Monaco lawama ziwaendee UEFA. Tuchel anadai baada ya tukio la mlipuko, chama hicho cha soka cha Ulaya kililichukulia tukio hilo kikawaida sana na wala hawakuipa Dortmund umuhimu mkubwa.
Tuchel anasema kikosi chake hakikuwa tayari na mchezo kupigwa siku ya Jumatano kwani wachezaji hawakuwa sawa kiakili, lakini UEFA badala ya kukaa chini wao kama wahanga wa tukio na kuwauliza nini cha kufanya?FIFA walifanya maamuzi wenyewe bila kuwashirikisha.
“Hawakutuuliza nini cha kufanya, walikaa wenyewe wakafanya maamuzi kisha baadae wakatutumia ujumbe kwamba mechi itachezwa siku ya Jumtano, ilitunyong’onyeza lakini hatukuwa na jinsi lakini kitendo cha mechi kupangwa bila kutushirikisha haikuwa sawa” alisema Tuchel.
Kauli ya Tuchel inapingana na kauli ya awali ya UEFA ambao walisema kabla ya mchezo huo kwamba, baada ya tukio la mlipuko kutokea waliwaita Monaco na Dortmund na kukaa nao chini ambapo walikubaliana kwa pamoja kwamba mchezo urudiwe siku inayofuata.
Kipigo cha nyumbani kutoka kwa Monaco kimeiweka katika hatari ya kutolewa katika Champions League, lakini Tuchel anaamini hiyo ilikuwa kama kipindi cha kwanza na cha pili ni nchini Ufaransa watapambana ili kusonga mbele.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BAADA YA KIPIGO CHA BAO 3, TUCHEL AITUPIA LAWAMA HIZI UEFA
BAADA YA KIPIGO CHA BAO 3, TUCHEL AITUPIA LAWAMA HIZI UEFA
https://2.bp.blogspot.com/-vYSCdSSlkQk/WO_JRy0GeEI/AAAAAAAAZcQ/a03yGYjGmxIfe2pwGxqmBKo_Ej3TsnRjACLcB/s1600/thomas-tuchel-dortmund_3428841-696x392.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-vYSCdSSlkQk/WO_JRy0GeEI/AAAAAAAAZcQ/a03yGYjGmxIfe2pwGxqmBKo_Ej3TsnRjACLcB/s72-c/thomas-tuchel-dortmund_3428841-696x392.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/baada-ya-kipigo-cha-bao-3-tuchel.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/baada-ya-kipigo-cha-bao-3-tuchel.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy