BARCELONA BILA LIONEL MESSI YAIFUNGA GRANADA

Barcelona ikiwa bila mfungaji wao anayeongoza Lionel Messi wameibuka na ushindi wa magoli 4-1dhidi ya Granada katika mchezo wa ligi ya La Liga.

Luis Suarez alifanya kazi ya ziada kabla ya mapunziko na kufunga goli la kwanza kabla ya mchezaji wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Jeremie Boga kuisawazishia Granada.

Paco Alcacer aliifanya Barcelona iongoze tena kabla ya Uche Agbo kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Ivan Rakitic alifunga la tatu na Neymar akamalizia la nne.
                         Jeremie Boga akishangilia baada ya kufunga goli pekee la Granada 

                             Nyota wa Barcelona Neymar akijipinda kupiga mpira wa adhabu
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post