BARCELONA YAJUTA KUIFUTA JUVENTUS TURIN; YACHEZEA KICHAPO BILA HURUMA

Paulo Dybala amefunga magoli mawili wakati Juventus ikiichakaza Barcelona kwa magoli 3-0 katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa Jijini Turin.

Mshambuliaji huyo raia wa Argentina, alifunga alifunga magoli hayo yote mawili kwa mipira ya kuzungushwa katika kipindi cha kwanza na kuwapa wakati mgumu wageni Barcelona.

Katika mchezo huo Juventus ilitawala na kuifanya Barcelona kujilinda zaidi hata hivyo walijikuta wakiongezwa goli la tatu kwa mpira wa kichwa lililofungwa na Giorgio Chiellini.
                                              Mshambuliaji Paulo Dybala akifunga goli la kwanza 
                                       Paulo Dybala akitupia goli la pili katika goli la Barcelona 

                                  Giorgio Chiellini akichupa kichwa na kufunga goli la tatu
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post