BONGO5 WATANGAZA NAFASI ZA KAZI

Bongo5 Media Group, inakutangazia nafasi za kazi zifuatazo;
1. MHARIRI (nafasi 2).
Sifa:
-Awe na Shahada (degree) ya Uandishi wa Habari kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
-Awe kwenye kazi ya Uandishi wa Habari kwa mfululizo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu(3).
-Awe na uzoefu wa kazi ya uhariri wa habari kwa angalau muda wa miaka miwili (2).
-Awe na uelewa mzuri na utayari wa kusimamia au kuongoza timu.
2.WAANDISHI WA HABARI (nafasi 3).
Sifa:
-Awe na diploma ya Uandishi wa Habari toka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
-Awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka miwili (2)
Namna ya kutuma maombi;
Kwa yeyote mwenye sifa zinzaokidhi mahitaji ya kazi hizi, tafadhali Tuma CV yako pamoja na link ya sample za kazi zako na uambatanishe na scan picha ya passport na vyeti husika kuenda kwenye barua pepe info@bongo5.com na editorbongo5.com.
Mshahara mzuri!
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21 Aprili, 2017.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post