CHRIS BROWN AJISAFISHA KUHUSU QUAVO NA KARRUECHE KWA STAILI HII

Baada ya chanzo kuufungukia mtandao wa Tmz kuhusu Chris Brown kukasrishwa na mahusiano ya karibu kati ya Quavo na Karrueche TranBrown asikitishwa na ishu hiyo.
Kupitia posti katika kurasa ya Instagram iliyopostiwa na Chris brown kisha ikafutwa, ilikuwa ni screenshot kwa shabiki ambayo ilitolewa kwenye kurasa ya twitter ambayo imefunguka kuonyesha kwamba taarifa ambazo zinatolewa na mtandao wa Tmz kuhusu Chris Brown ni za uongo.

Sio mara ya kwanza kwa Chris Brown kukasirishwa na taarifa ambazo huwa zinatolewa na mitandao ya habari kama Billboard na Tmz kumuhusu yeye, tena mara nyingi huwa wanamzungumzia pale anapokuwa anaanzisha tour yake.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post