CHRISTIAN BENTEKE AIZAMISHA LIVERPOOL KATIKA DIMBA LA ANFIELD

Mshambuliaji Christian Benteke ameigeuzia kibao klabu yake ya zamani wakati Crystal Palace ikiifunga Liverpool katika dimba la Anfield kwa magoli 2-1.

Benteke alifunga magoli mawili ya Crystal Palace moja katika kila kipindi, wakati kikosi cha Sam Allardyce kikipambana kutoka nyuma kufungwa goli la mpira wa adhabu la Philippe Coutinho na kuibuka na ushindi.

Liverpool ilimuuza Benteke kwa Crystal Palace kwa kitita cha paundi milioni 5, ikiwa ni kiasi cha chini kuliko walichomununulia mshmabuliaji huyo Mbelgiji, lakini jana alikuwa mwimba mchungu kwao.
                                      Philippe Coutinho akipiga mpira wa adhabu uliojaa wavuni 

                                   Christian Benteke akifunga moja kati ya magoli yake mawili
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post