DC KASESELA MAZOEZI LAZIMA IRINGA ILI KUJENGA UCHUMI

SHARE:

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa kwenye mazoezi na wananchi wa kijiji cha Tosamaganga pamoja na mwanachama wa club ya Tosa...

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa kwenye mazoezi na wananchi wa kijiji cha Tosamaganga pamoja na mwanachama wa club ya Tosamaganga sports club 
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akicheza Mpira wa kikapu kuashiria kuwa anapenda Mpira wa kikapu


Na Fredy Mgunda,IringaMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwaomba wananchi kuendelea kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimalisha afya zao pamoja kuujenga uchumi wa nchi hii.
Tukiendelea kufanya mazoezi tutapunguza sana kupata magonjwa mbalimbali kwa kuwa tuna kuwa tunaimalisha afya na kujenga miili yetu lakini hii itasababisa wananchi kujituma kufanya kazi kwa nguvu na morali mpya kila mwanzo mwa wiki kwa kuwa wanakuwa na nguv,stamina na akili Mpya kutokana mazoezi ya mwisho mwa Juma.
“Kwa mfano mimi saizi nipo sawa kiakili kutokana na haya mazoezi maana bila haya mazoezi nisinge kuwa vizuri kiaafya,saizi naweza kufanya kazi kwa masaa mengi kutokana na hili zoezi la Leo sasa nawaomba wananchi na viongozi mbalimbali kufanya mazoezi ili kuongeza ufanisi kazini”alisema Kasesela
Aidha Kasesela aliwashukuru wananchi wa Tosamaganga sports club kwa kuanziasha club ya Tosamaganga ambayo inamichezo mingi kama mpira wa miguu,mpira wa pete,riadha,na mpira wa kikapu hivyo naomba wananchi wengine waanzishe vitu kama hivi ili Wilaya nzima iwe inafanya mazoezi kwa kuimalisha Afya.
Kasesela amewataka viongozi wa kata,kijiji,mtaa,na tarafa kuanzisha mazoezi huku waliko ili kupanua wigo wa eneo kubwa la watu kufanya mazoezi ili kuimalisha afya zao na kupunguza kunyemelewa na magonjwa mbalimbali ambayo yamekuwa yanapunguza nguvu kazi za taifa katika kujenga uchumi wa taifa.
“Hii ni moja ya club ambayo nimeizindua ambayo itatuongezea wigo wa sehemu za kufanyia mazoezi ya kuimalisha afya zetu na kuipa moyo serikali kupanua wigo wa maeneo ya kuafanyia mazoezi” alisema Kasesela

Nao baadhi ya viongozi wa club ya Tosamaganga sports club walimushukuru mkuu wa Wilaya kwa kukuza Michezo katika Wilaya ya Iringa na kuongeza ufanisi wa kazi hasa makazini kwa kuwa ndio jadi ya kukuza uchumi katika mkoa wa Iringa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DC KASESELA MAZOEZI LAZIMA IRINGA ILI KUJENGA UCHUMI
DC KASESELA MAZOEZI LAZIMA IRINGA ILI KUJENGA UCHUMI
https://3.bp.blogspot.com/-jrirfQ3s7es/WOtOH4diexI/AAAAAAAAZSM/D31EAjxYzrUBkKzzyIZebeuKCtFUWZXyQCLcB/s1600/IMG-20170408-WA0018.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-jrirfQ3s7es/WOtOH4diexI/AAAAAAAAZSM/D31EAjxYzrUBkKzzyIZebeuKCtFUWZXyQCLcB/s72-c/IMG-20170408-WA0018.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/dc-kasesela-mazoezi-lazima-iringa-ili.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/dc-kasesela-mazoezi-lazima-iringa-ili.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy