FAHAMU NJIA 4 ZA KUIMALIZA SIKU YAKO UKIWA NA FURAHA

SHARE:

Je unapoimaliza siku yako unakuwa katika hali gani? a) Hali ya w asiwasi na kutoridhika kwamba mambo yako hayajakamilika, b)  kukasirishw...

Je unapoimaliza siku yako unakuwa katika hali gani? a) Hali ya wasiwasi na kutoridhika kwamba mambo yako hayajakamilika, b) kukasirishwa na mambo machache ambayo hayakwenda vizuri, c) Kuzidiwa na yote unayohitaji kufanya kesho au d) hali ya furaha kwa kutimiza yote uliyayapanga kufanya kwa siku hiyo?
Watu wengi wamekuwa wakiimaliza siku kwa uchovu na mawazo tele. Huku wakiwaza ni kwa namna gani watakidhi mapungufu yaliyojitokeza siku hiyo na kuifanya siku inayofuata kuanza vyema. Lakini husahau kwamba kuwaza sana yale yaliyoenda tofauti na malengo ya siku si vyema, bali kutafuta ufumbuzi wa namna ya kuyafanya kwa ufanisi zaidi.
Hizi hapa ni baadhi ya mbinu zitakazokusaidia kuimaliza siku yako ukiwa mwenye furaha.
Andika orodha ya mambo 10 mazuri yakiyotokea wakati wa mchana.
Watu wengi hupenda kuona mambo mengi zaidi yakifanyika kwa ukamilifu kila siku. Jambo ambalo hupelekea wao kuona kuwa mengi hayakwenda vizuri na kusahau yale yaliyo mazuri. Kuandika orodha ya mambo yaliyokuendea vizuri wakati wa mchana kutakufanya kuwa mwenye furaha zaidi.
Angalia au soma kitu ambacho kinaendana na ndoto zako.
unaposoma ama kuangalia vitu vinavyoendana na ndoto zako kutakuhamasisha na kukujenga zaidi kupambana ili kufikia lengo ulilojiwekea. Kupitia kusoma utaweza kupata mbinu mbalimbali za kukuwezesha wewe kujijenga zaidi na kupata kiu ya mafanikio.
Tafuta kinachokupa hofu na uchukue hatua kukirekebisha kabla ya kuanza siku nyingine.
hii ni njia mojawapo itakayokusaidia kuianza siku nyingine ukiwa na utulivu wa akili na maamuzi. Unapoamka ukiwa na hofu juu ya jambo fulani kunaweza kukakufanya ushindwe kukamilisha mambo mengine  na kukusababisha kutokufikia malengo uliyojiwekea. Hivyo kabla ya kuimaliza siku yako, jitahidi kutatua yale yanayokusumbua kabla hujaianza siku nyingine mpya.
Panga mambo utakayoyafanya utakapoamka asubuhi.
Wakati wa asubuhi huwa ni wakati mzuri ambao mwili pamoja na akili huwa na nguvu ya kufanya maamuzi. Ili usiichoshe akili yako mapema katika kuwaza mambo yasioyokuwa na msingi, basi wakati wa jioni unapomaliza siku yako panga vitu utakavyovifanya. Mfano panga nguo utakazovaa, chakula utakachokula pamoja na ratiba nzima ya siku inayofuata.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FAHAMU NJIA 4 ZA KUIMALIZA SIKU YAKO UKIWA NA FURAHA
FAHAMU NJIA 4 ZA KUIMALIZA SIKU YAKO UKIWA NA FURAHA
https://1.bp.blogspot.com/-PE2J2f-CHHM/WO_M_DVBnVI/AAAAAAAAZcg/qspZBC3fhHggq2r79hQ_MO8Jk-Rx2SwbACLcB/s1600/xhappy-woman-750x375.jpg.pagespeed.ic.qqO4zy10Xz.webp
https://1.bp.blogspot.com/-PE2J2f-CHHM/WO_M_DVBnVI/AAAAAAAAZcg/qspZBC3fhHggq2r79hQ_MO8Jk-Rx2SwbACLcB/s72-c/xhappy-woman-750x375.jpg.pagespeed.ic.qqO4zy10Xz.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/fahamu-njia-4-za-kuimaliza-siku-yako.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/fahamu-njia-4-za-kuimaliza-siku-yako.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy