FLOYD MAYWEATHER AMPA ZAWADI YA MERCEDES MTOTO WAKE KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Bondia Floyd Mayweather amempatia mtoto wake wa kiume Zion zawadi ya gari aina ya Mercedes C-Class Coupe yenye thamani ya paundi 31,000.

Zawadi ya gari hilo la kifahari imetolewa na Floyd Mayweather katika sherehe ya kuzaliwa ya Zion ambaye ametimiza miaka 16.

Bondia huyo mstaafu mpenda matanuzi pia aliwahi kumnunulia Mercedes mtoto wake mwingine wa kiume Koraun katika siku yake ya kuzaliwa mwaka jana.
                                    Zion Maywether akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake
                                   Rapa Young Thug akitumbuiza katika pati ya Zion Maywether 

                  Zion Maywether akirusha dola na rafiki yake kwa mtindo wa Chop my Money
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post