HATARI TUPU!! KAULI HII YA DAYNA NYANGE YAMUOGOPESHA KALA JEREMIAH

Msanii wa muziki wa hip hop Kala Jeremiah, amefunguka na kudai alishtushwa na kauli tata kutoka kwa msanii mwenzake Dayna Nyange.
Kauli hiyo ya Dayna Nyange ambayo aliitoa mbele ya Tv ambapo alidai kutomfahamu Kala Jeremiah lakini alikuja kupuuzia baada ya kugundua alisema ki masihara japo hajawai kumuuliza.
Rapper huyo ambaye ni baba wa mtoto mmoja aitwae Alama, ameiambia eNewz kuwa awali watu walipomwambia alishtuka na hakuamini lakini baada ya kutazama marudio ya kipindi aligundua Dayna aliongea kwa utani na wala hakutegemea kama ingekuwa ni story kubwa na kusisistiza kuwa wao ni washkaji hakuna hata ugomvi unaoendelea kati yao.
“Sitaki kuamini kama Dayna hanifahamu. Sisi ni washkaji wa muda na hata alivyodai hanifahamu huwezi amini sijawahi kumpigia simu nimuulize maana tunakutana na tunapiga story kama kawa.
Aliongeza, “Hicho siyo kitu kikubwa sana kwangu cha ku-mind kwa nini anikane, kwa sababu kwanza kila mtu anajua ushkaji wetu uliopo kati yangu mimi na Dayna na ukizingatia mimi ni mmoja kati ya marafiki zake wanaoimba hip hop”.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post