JAY Z APOKEA MATUSI KWA KITENDO HICHI.... JE DIAMOND ATAFANYAJE NA WASAFI.COM?

Jay Z amefanya jambo lililoshtua wengi baada ya staa huyu kutoa muziki wake kwenye tovuti za Spotify na Apple ili watu wasikilize kazi zake kwenye TIDAL yake tu…
Vyombo vya habari Marekani vimepokea taarifa hii vibaya na kumtusi staa huyu wakimuita “Messy b*tch” kwa kitendo hicho cha ubinafsi kwenye biashara.
Spotify na Apple ni mitandao inayoshindana na TIDAL ya Jay Z na kufanya hivyo ni kupunguza namba kubwa ya watu kuingia kwenye mitandao hio haswa wanaotaka muziki wa Jay Z, Taylor Swift ni miongoni mwa wasanii waliofanya hivyo pia mwaka jana.
Je Diamond Platnumz na Wasafi.Com atafanya hivi pia, kuondoa muziki wake kutoka Mkito,Itunes na Spotify ili upatikane Wasafi.Com Tu….
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post