JESSE LINGARD AJIFUNGA MANCHESTER UNITED HADI 2021

Kiungo wa Manchester United, Jesse Lingard, ametia saini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Old Trafford kwa kitita cha paundi 100,000 kwa wiki.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye miaka 24, sasa amejifunfa Manchester united hadi mwaka 2021 na kuna fursa ya kuongezewa muda.

Lingard ameshuka dimbani mara 70 aakiwa na United, ambayo alijiunga nayo akiwa na miaka saba, na ametwaa makombe manne.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post