JUX AKANUSHA TETESI ZA KUACHANA NA VANESSA MDEE

SIku chache zilizopita zilizuka tetesi kwamba mastaa wawili wa muziki ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi, Vanessa Mdee na Jux wameachana.
Tetesi ambazo zilizua gumzo katika mitandao ya kijamii, ikiwa hatukupata kauli yoyote kutoka kwa wahusika hao wawili.
Jana kwenye XXL ya Clouds FM Jux alikuwepo kutambulisha ngoma yake mpya ambayo ameipa jina la Umenikamata, na moja kati ya maswali ambayo aliulizwa ni kuhusu tetesi za kuvunjika kwa mahusiano yake na Vanessa.
Jux amekanusha tetesi hizo na kudai kwamba wao wako vizuri, ila tu ni tetesi ambazo zimezuka baada ya kutoonekana kuwa karibu na Vanessa kwa muda sasa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post