KAKA WA EDDIE MURPHY, MCHEKESHAJI CHARLIE MURPHY AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji Mmarekani, Charlie Murphy, ambaye ni kaka wa muigizaji filamu, Eddie Murphy, amefariki dunia kwa ugonjwa wa lukemia akiwa na umri wa miaka 57.

Tovuti ya TMZ imemnukuu meneja wake akisema mchekeshaji huyo amefariki dunia jumatano katika hospitali Jijini New York.

Murphy alikuwa kionekana kwenye shoo ya mchekeshaji Dave Chappelle pia aliwahi kucheza kwenye filamu kadhaa zikiwemo za Jungle Fever, Night at the Museum na Lottery Ticket.

     Marehemu Charlie Murphy akiwa na mdogo wake Eddie Murphy wakati wa uhai wake
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post