KAMPUNI YA KIMATAIFA YA INDONESIA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA KILIMO NCHINI

SHARE:

Wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali wameendelea kumiminika nchini kwa ajili ya kutaka kuwekeza katika sekta mbalimbali ambapo wawekezaji...

Wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali wameendelea kumiminika nchini kwa ajili ya kutaka kuwekeza katika sekta mbalimbali ambapo wawekezaji wakubwa kutoka Kampuni ya Puncak Keemasan Lumbung Dunia ya Indonesia wameonyesha nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa kwenye ekari zaidi ya laki Moja Tanzania bara na ufugaji wa samaki kwa upande wa Zanzibar.
Wajumbe wa Kampuni hiyo ambayo imewekeza katika kilimo cha kisasa katika Mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo Amerika, Afrika, Ulaya na Asia wamekutana na Kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumweleza dhamira ya kutaka kuja kuwekeza nchini.
Ujumbe wa Wawekezaji hao kutoka Indonesia ambao umeongozwa na Mchugaji Dakta VERNON FERNANDES wa World Agape Ministries umemweleza Makamu wa Rais kuwa wana nia ya dhati ya kuwekeza Tanzania na wanataka kupata ardhi kubwa kwa ajili ya kilimo cha kisasa ambacho kitakwenda pamoja na usindikaji wa mazao yao ili kuondoa tatizo la kusafisha malighafi nje ya nchini.
Amesema mpaka sasa wameshatembelea maeneo mbalimbali nchini ikiwemo mkoa wa Morogoro lakini wanakutana na changamoto kubwa ya kukosekana kwa eneo la kutosha kwa ajili ya uwekezaji huo.
Kwa upande wake, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameonyesha kufurashishwa na nia ya wawekezaji hao kuja kuwekeza kwenye sekta ya kilimo cha kisasa nchini.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema uwekezaji huo mkubwa ukianza nchini utatoa fursa ya ajira kwa watanzani wengi na kuongeza pato la taifa na wawekezaji wenyewe.
Makamu wa Rais pia amewaahidi wawekezaji hao kuwa atashughulikia haraka kupatika kwa eneo la ardhi kwa ajili ya uwekezaji huo ili kazi ya kujenga miundo mbinu kwenye eneo la uwekezaji ianze mara moja.
Ameeleza kuwa Tanzania ina eneo kubwa na zuri kwa ajili ya kilimo hasa kilimo cha umwagiliaji ambalo bado halijaendelezwa hivyo kama wawekezaji wengi watajitokeza kuwekeza kwenye eneo hilo taifa litajitosheleza kwa chakula na kuuza ziada nje ya nchini.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais.
Ikulu – Dar es Salaam.
6-April-2017.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KAMPUNI YA KIMATAIFA YA INDONESIA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA KILIMO NCHINI
KAMPUNI YA KIMATAIFA YA INDONESIA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA KILIMO NCHINI
https://2.bp.blogspot.com/-jQm1cg34U6c/WOZrdOpM_JI/AAAAAAAAZJo/eHbUAdK_JHkoPy6gpO09rHcj45Tf0G6UgCLcB/s1600/xp-750x375.jpg.pagespeed.ic.SNgyF10P0H.webp
https://2.bp.blogspot.com/-jQm1cg34U6c/WOZrdOpM_JI/AAAAAAAAZJo/eHbUAdK_JHkoPy6gpO09rHcj45Tf0G6UgCLcB/s72-c/xp-750x375.jpg.pagespeed.ic.SNgyF10P0H.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/kampuni-ya-kimataifa-ya-indonesia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/kampuni-ya-kimataifa-ya-indonesia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy