KLABU YA USIKU YA FUNGWA TUNISIA BAADA YA DJ KU-MIX ADHANA NA MUZIKI

Klabu moja ya usiku nchini Tunisia imefungwa baada ya picha za video kumuonyesha DJ akichanganya muziki na sauti ya adhana ambayo hutumika kuita watu kwenda kuswali.

Video hiyo iliyosambazwa Jumapili kutoka katika tamasha la Orbit Festival kaskazini mashariki mwa mji wa Nabeul ililalamikiwa mno kwenye mitandao ya jamii..


Gavana wa Nabeul, Mnaouar Ouertani, amesema klabu hiyo itaendelea kufungwa hadi hapo itakapotolewa kauli nyingine. Uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post