KLOPP AFUNGUKA JUU YA MADAI HAYA YAKUTAKA NAFASI ZA ULAYA

SHARE:

Meneja wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema hana budi kuelekeza nguvu zake katika nafasi nne za juu, baada ya kushindwa kufikia len...

Meneja wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema hana budi kuelekeza nguvu zake katika nafasi nne za juu, baada ya kushindwa kufikia lengo la kuingia kwenye mbio za ubingwa kuelekea mwishoni mwa msimu huu.
Klopp amezungumza na vyombo vya habari na kukiri jambo hilo, ambapo amesema kuna haja ya kuanza kujielekea katika mfumo wa kusaka namna ya kucheza ligi ya mabingwa barani Ulaya.
“Nitaridhika sana endapo nitaiwezesha Liverpool kumaliza nafasi nne za juu, lengo langu kubwa tangu mwanzoni mw amsimu huu lilikua hapa, japo tulionekana kuwa na nia ya kuufukuzia ubingwa wakati fulani, lakini kwa sasa mambo yamekwenda ndivyo sivyo.
“Inanilazimu kurudi katika lengo langu na nitahakikisha kila hatua tunayoipiga katika michezo iliyosalia tunafanikisha ushindi ili kusalia katika lengo letu. Najua lengo hili litakua ni furaha kwa kila mmoja wetu, kwa sababu tutakua tumeingia kwenye mpango mwingine wa kupambana barani Ulaya.” Amesema Klopp.
Klopp amezungumzia jambo hilo katika mkutano na waandishi wa habari uliokua na lengo la kuelezea maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wa mwishoni mwa juma hili, ambapo Liverpool watakua wageni wa West Bromwich Albion siku ya jumapili katika mchezo wa ligi ya England.
Katika mchezo huo Liverpool watawakosa viungo Adam Lallana na Jordan Henderson, ambao bado ni majeruhi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KLOPP AFUNGUKA JUU YA MADAI HAYA YAKUTAKA NAFASI ZA ULAYA
KLOPP AFUNGUKA JUU YA MADAI HAYA YAKUTAKA NAFASI ZA ULAYA
https://1.bp.blogspot.com/-lCRWHyfrGPA/WO_I4u3OT7I/AAAAAAAAZcM/pJc6gkTXO7cLXYjSgEezJxCrom3nU3YqQCLcB/s1600/32E8449500000578-3526741-Klopp_spent_seven_years_in_charge_of_Dortmund-a-38_1459961135545-696x480.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-lCRWHyfrGPA/WO_I4u3OT7I/AAAAAAAAZcM/pJc6gkTXO7cLXYjSgEezJxCrom3nU3YqQCLcB/s72-c/32E8449500000578-3526741-Klopp_spent_seven_years_in_charge_of_Dortmund-a-38_1459961135545-696x480.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/klopp-afunguka-juu-ya-madai-haya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/klopp-afunguka-juu-ya-madai-haya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy