LEICESTER CITY YAPAMMBANA VILIVYO LICHA YA KUFUNGWA NA ATLETICO MADRID

Timu ya Leicester City imeikazia Atletico Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa goli 1-0 katika mchezo wao wa kwanza wa robo fainali.

Atletico Madrid ilipata goli lake pekee katika kipindi cha kwanza pale refa aliposema Marc Albrighton amemfanyia madhambi Antoine Griezmann katika eneo la penati.

Hata hivyo picha za video za marudio zilionyesha madhambi hayo yalifanyika nje ya boksi, hata hivyo Griezmann alipewa penati na kufunga.
                                 Antoine Griezmann akifunga goli pekee kwa mkwaju wa penati

                    Riyad Mahrez akijiangusha chini kutaka penati katika kipindi cha pili
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post