LEWIS HAMILTON AANZA VIZURI MBIO ZA CHINESE GRAND PRIX

Dereva wa Merceds Lewis Hamilton amemshinda Sebestiana Vettel wa Ferrari katika mwanzo wa mbio za Chinese Grand Prix zilizokuwa na ushindani mkali.

Hamilton amemshinda Vettel kwa sekunde 0.186 ikiwa ni mara ya pili kufanya hivyo katika mwanzo wa mbio kwa mwaka huu.

Mjerumani Vettel ameshika nafasi ya pili akimpiku dereva wa Mercedes Valtteri Bottas kwa sekunde 0.001.

Dereva wa Ferrari Kimi Raikkonen naye alifanikiwa kuingia katika nafasi nne za juu kama alivyofanya katika mbio za ufunguzi za msimu huu za Australia.
Dereva Muingereza Lewis Hamilton akinyoosha mkono kuwapungia mashabiki wake baada ya kuongoza 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post