LIGI KUU ENGLAND, ARSENAL YAAMBULIA KIPIGO TOKA KWA CRYSTAL PALACE

Andros Townsend wa Crystal Palace akifurahia goli lake la kuongoza dhidi ya Arsenal katika mchezo wa ligi kuu England ulichezwa usiku wa kuamkia leo
Kocha Arsene Wenger amesema hali ya mtafaruku kuhusiana na hatma yake haichangii matokeo mabaya ya timu yake ingawa amekiri kipigo cha jana cha magoli 3-0 kutoka kwa Crystal Palace kilikuwa kibaya mno. 

Wenger mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu na ameshaahidiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili ingawa bado hajafanya maamuzi yake ya mwisho.

Magoli ya Andros Townsend, Yohane Cabaye na Luka Milivojevic yalitosha kabisa kupelekea Arsenal kupata kipigo cha nne wakiwa ugenini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post