MAAMUZI YA KAGERA SUGAR BAADA YA TFF KUWAPOKONYA ALAMA 3 NA KUWAPA SIMBA

Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu. 

Kagera wanaamini beki wao Mohammed Fakhi alikuwa na kadi mbili za njano na si tatu kama ilivyoamua Kamati ya Saa 72. Years 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post