MABILIONEA WAWILI WA TANZANIA WANUNUA KAMPUNI KUBWA YA MAFUTA AFRIKA

SHARE:

Mabilionea wawili raia wa Tanzania  Aunali na Sajjad Rajabali wamenunua hisa milioni 30.2 sawa na asilimia 2.06 ya hisa zote katika kampu...

Mabilionea wawili raia wa Tanzania  Aunali na Sajjad Rajabali wamenunua hisa milioni 30.2 sawa na asilimia 2.06 ya hisa zote katika kampuni ya mafuta ya KenolKobil.
KenolKobil ni kampuni kubwa ya mafuta barani Afrika ambayo inajishughulisha na uuzaji wa bidhaa hiyo katika nchi saba zilizomo Afrika Mashariki, Kati na Kusini. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 1959.
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka iliyotolewa na kampuni hiyo, hisa hizo zina thamani ya shilingi 8.2 bilioni katika soko na kuwafanya Rajabali kuwa nafasi ya 9 kati ya wawekezaji 10 bora wa kampuni ya KenolKobil.
Ndugu hao wawili mabilionea wamewekeza jumla ya TZS 15.1 bilioni katika kampuni mbili za Benki ya Ushirika na Kenol.
Wawili hao wanafanya kazi kwa ukaribu na Benki ya CRDB nchini Tanzania na uamuzi wao wa kununua makampuni hayo mawili makubwa unaonyesha wanaimani na mafanikio ya kampuni hizo katika miaka ijayo.
Kampuni ya Kenol ilipata faida ya TZS 52 bilioni kwa mwaka jana ikiwa imechangiwa na mauzo makubwa, katika nchi inazofanya kazi pamoja na gharama ndogo za uendeshaji.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MABILIONEA WAWILI WA TANZANIA WANUNUA KAMPUNI KUBWA YA MAFUTA AFRIKA
MABILIONEA WAWILI WA TANZANIA WANUNUA KAMPUNI KUBWA YA MAFUTA AFRIKA
https://2.bp.blogspot.com/-MTFH648EkiU/WPuJQvhPbjI/AAAAAAAAZ20/iYuRZKWhN2UovWmyJ1PkQy8UNDtUea95ACLcB/s1600/Kenol-Kobil-702x336.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-MTFH648EkiU/WPuJQvhPbjI/AAAAAAAAZ20/iYuRZKWhN2UovWmyJ1PkQy8UNDtUea95ACLcB/s72-c/Kenol-Kobil-702x336.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/mabilionea-wawili-wa-tanzania-wanunua.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/mabilionea-wawili-wa-tanzania-wanunua.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy