MAHAKAMA AFRIKA KUSINI YAPINGA ZUIO LA BIASHARA YA PEMBE ZA FARU

Mahakama ya katiba ya Afrika kusini imelipinga jaribio la serikali la kutaka kuweka marufuku ya biashara ya ndani ya pembe za faru.
Matokeo ya pingamizi hilo yameleta matokeo kuwa pembe hizo za faru zinaweza kuuzwa ndani ya nchi huku marufuku katika biashara hiyo kimataifa ikiwa bado inaendelea.
Maafisa wa wanyama pori nchini humo wamedai kuwa, kuruhusu biashara hiyo kuendelea kufanyika kihalali kutaweza kupunguza idadi ya faru wanaouwawa kutokana na kwamba pembe za faru zinaweza kukatwa na kuacha wanyama hao hai.
Pamoja na kupitishwa kwa uamuzi huo, Maafisa wanyamapori pamoja na wahifadhi hawakuridhishwa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post