MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TBP, Bw. Sabasaba Moshingi akizungumza kwa niaba ya viongozi wa Mifuko ya Uwezeshaji ya Serikali katika maonyesho ya mifuko hiyo yaliyozinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasalimia wananchi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Uhuru mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto) hundi ya Shilingi 1, 469, 358,0 00/= kwa ajili ya vijana kabla ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. Wanne kushoto ni Wziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Naibu Wziri wake, Anthony Mavunde. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini , Christina Mndeme na watatu kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng Issa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi ( wapili kulia) cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama. (picha na Ofiai ya Waziri Mkuu)
NE5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mzee Maarufu wa Dodoma, Job Lusinde baada ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. Wengine pichani kutoka kulia ni Waziri wan chi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, AjiraKazi, Jijana, ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mndeme na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng Issa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika maonyesho ya Mifuko ya Uwezesha Wananchi ya serikali baada ya kufungua maonyesho hayo kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika maonyesho ya Mifuko ya Uwezesha Wananchi ya serikali baada ya kufungua maonyesho hayo kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE8 NE9
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi ( wapili kulia) cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofiai ya Waziri Mkuu)


NE10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE11
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Meneja wa PPF wa Kanda ya Mashariki na Kati, Bw. Michael Christian cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofiai ya Waziri Mkuu) NE12
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikilza Bi. Evelyne Mandenje amabaye ni mmoja wa wajasiriamali walionufaika na mikopo inayotolewa na Benki ya TIB wakati alipotembelea banda la wasindikaji vyakula kabla ya kufungua Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE13
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali aliyoyafungua kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NE14 NE15
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakijadili jambo katika maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 28, 2017. Kulia ni Afisa Mwandamizi wa Fedha wa Benki ya TIB, Kenneth Lusesa(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post