MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE NA ANDERLECHT

Manchester United imejikuta ikilazimishwa sare katika dakika za mwisho na kunyimwa ushindi ugenini na Anderlecht katika mchezo wa robo.

Alikuwa Leander Dendoncker aliyemzidi beki Matteo Darmian na kufunga goli la kusawazisha kwa kichwa katika dakika ya 86.

Kipindi chote kabla ya goli hilo Manchester Until walikuwa wamewatawala wenyeji wao, na walipata goli katika kipindi cha kwanza lililofungwa na Henrikh Mkhitaryan.
       Henrikh Mkhitaryan akifunga goli baada ya shuti la Marcus Rashford kupanguliwa
Marcos Roj0, Matteo Darmian na kipa Sergio Romero wakiwa wamechanganyikiwa baada ya kufungwa goli la kusawazisha
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post