MAPOROMOKO YA MLIMA WA TAKATAKA YAUWA WATU 16 SRI LANKA

Watu wapatao 16 wakiwemo watoto wanne wamekufa baada ya rundo kubwa la eneo la kutupia taka kuporomokea kwenye nyumba zao nchini Sri Lanka.

Dampo hilo la taka lilikuwa na rundo za taka zenye urefu wa mita 91 liliporomoka jana kutokana na mafuriko huku moto ukiwaka.

Nyumba zipatazo 40, zilizokuwapo kando ya rundo hilo la taka zimeharibiwa, huku watoto wanne wenye umri wa miaka 11 na 15 wakifa.

Kumekuwapo na hofu kuhusiana na usalama wa maeneo ya kutupia ya Colombo, huku wakazi wakiomba marundo ya milima ya takataka kuondolewa.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post