MASHABIKI WENGI WA ARSENAL WAPIGA KURA YA KUTOMTAKA WENGER

Shinikizo la kumtaka kocha Arsene Wenger aondoke Arsenal katika majira ya joto limezidi kupamba kasi kufuatia kupigwa kura nyingi za mashabiki wa timu hiyo zinazomtaka afungashe virago.

Mashabiki wa Mfuko wa Arsenal waliwauliza wanachama wa klabu hiyo iwapo wanaunga mkono hoja ya kumpa mkataba mpya Wenger katika majira ya joto na matokeo asilimia 78 walipiga kura ya kukataa.


Kocha Arsene Wenger anatarajiwa kusaini mkataba wa kuendelea kuinoa Arsenal kwa kipindi cha miaka miwili licha ya ongezeko la shinikizo la mashabiki kumtaka aachie timu hiyo.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post