MBABE JOHN CENA AMCHUMBIA MPENZI WAKE NIKKI BELLA ULINGONI

Mcheza mieleka nyota John Cena amepiga magoti jukwaani mbele ya watazamaji 70,000 akimuomba mpenzi wake Nikki Bella amkubaliye kuwa mchumba wake.

Tukio hilo limefanyika baada ya Cena na Bella kuwadunda maadui zao The Miz na Maryse, ambao ni wanandoa, katika pambano la mieleka la wawili wawili.


Cena mwenye miaka 39 alianza kwa kutoa mistari ya kumsifia Bella na kisha kupiga magoti ulingoni na kutoa kiboksi chenye pete ya uchumba.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post